Mhe. Balozi Ernest Mangu wa kwanza kushoto akiwa pamoja na Mabalozi wa Afrika wanaoziwakilisha nchi zao hapa Rwanda wakati wa mkutano wa Mabalozi hao uliofanyika mwezi Februari, 2019