Mhe. Balozi Ernest Mangu wa kwanza kushoto na Afrisa Ubalozi Mr. Bunto wa kwanza kuliwa wakiwa katika picha ya pamoja na Mmiliki wa Kiwanda cha kusindika pilipili maarufu kama Akabanga Bw. Sina Gerald wa pili kushoto, katika moja ya ziara ya kukitembelea kiwanda hicho kilichopo Rulindo, Jimbo la Kaskazini.  Mhe Balozi alienda kiwandani hapo kwa ajili ya kutafuta soko la Pilipili kwa ajili ya Wakulima wa Tanzania.

  • Mhe Balozi Ernest Mangu wa kwanza kushoto na Afisa Ubalozi Mr. Teritoi Bunto wa kwanza kulia wakiwa katika picha cha pamoja na mmliki wa kiwanda cha kusindika pilipili maarufu kama Akabanga, Bw. Sina Gerald wa pili kushoto.Mhe Balozi Ernest Mangu wa kwanza kushoto na Afisa Ubalozi Mr. Teritoi Bunto wa kwanza kulia wakiwa katika picha cha pamoja na mmliki wa kiwanda cha kusindika pilipili maarufu kama Akabanga, Bw. Sina Gerald wa pili kushoto.