Mhe. Balozi Ernest Mangu katikali (waliokaa) pamoja na baadhi ya Maafisa wa Ubalozi na Ujumbe wa Bodi ya Mishahara walipoutembelea Ubalozi Mwezi Februari, 2019.  Ujumbe huo ulikuwa nchini Rwanda kwa ziara ya mafunzo ya siku tano.