Wajumbe walioshiriki Mkutano wa Common Wealth Youth Forum kutoka Tanzania watembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda na kukutana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania waliopo Kigali kwaajili ya kushiriki Mkutano wa CHOGM 2022.