News and Resources Change View → Listing

Picha ya pamoja ya Balozi Ernest Mangu, Wafanyabiashara wa Utalii na Viongozi wa TATAO (Tanzania Association of Tour Operators) waliofika Kigali, Rwanda kwa ziara ya mafunzo na kutangaza vivutio vya utalii nchini.

Wajumbe wa TATOA wautembelea Ubalozi

Picha ya pamoja ya Balozi Ernest Mangu, Wafanyabiashara wa Utalii na Viongozi wa TATAO (Tanzania Association of Tour Operators) waliofika Kigali, Rwanda kwa ziara ya mafunzo na kutangaza vivutio vya utalii…

Read More

Kamishina Jenerali wa Uhamiaji autembelea Ubalozi

Mhe. Balozi Ernest Mangu wa pili kulia akiwa na Kamishishina Jenerali wa Uhamiaji wa kwanza kulia Dkt. Anna Makakala pamoja na Maafisa Ubalozi alipoutembelea Ubalozi kumsalimu wakati akiwa Kigali kikazi mwezi…

Read More

Mkutano wa kilele wa Mawaziri wa Maji Afrika

Mhe. Balozi Ernest Mangu katikati akiwa pamoja na Maafisa kutoka Wizara ya Maji wakati wa Mkutano wa kilele wa Mawaziri wa Maji Afrika uliofanyika tarehe 13 Februari, 2019 katika Hoteli ya Park Inn Jijini…

Read More

Maafisa wa Polisi wautembelea Ubalozi

Mhe. Balozi Ernest Mangu na Afisa wa Ubalozi Bw. Teritoi Bunto wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Polisi toka Tanzania ambao walikuwa nchini Rwanda kikazi.  Maafisa hao wa Polisi ni DCP. Shaban…

Read More
Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA)

Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA)

A thin mist swirls through an enchanted forest of lichen-draped trees. Hundreds of metres below, a hazy expanse of savannah dips towards an oval lake whose edges shimmer pink with countless fl amingos. As the…

Read More

Mhe. Balozi Ernest J. Mangu alipokwenda kumsalimu Waziri Mkuu wa Rwanda Mhe. Edouard Ngirente

Mhe. Balozi Ernest J. Mangu akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Rwanda Mhe.  Edouard Ngirente wakati alipokwenda kumsalimu ofisini kwake.Viongozi hawa walizungumzia mambo mbalimbali katika kuimarisha uhusiano…

Read More

Wachungaji na Wanakwaya wa Kanisa la KKKT - Kahama walipoutembelea Ubalozi

Mhe Balozi Ernest Mangu akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (Wachungaji na Wanakwaya) kutoka Kahama Tanzania walipoutembelea Ubalozi wa Tanzania na kutoa salamu kwa Mhe…

Read More

Mhe. Balozi Ernest J. Mangu alipokwenda kuwasalimu Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini Rwanda

Mhe. Balozi Ernest Jumbe Mangu pamoja na Balozi wa China nchini Rwanda Mhe. Rao Hongwei wakati apoenda kumsalimia Ubalozi wa China.  Mhe Balozi wa China alimkaribisha Mhe. Balozi na kumtakia Mafanikio…

Read More