News and Resources Change View → Listing

KIKAO KAZI CHA WADAU NCHINI RWANDA

Tarehe 17 Oktoba, 2024 Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda  kwa kushirikiana  na Wizara ya Uchukuzi, TASAC na ofisi ndogo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) umefanya kikao kazi na Wadau…

Read More

WAJUMBE WA BODI YA TPA YATEMBELEA RWANDA

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania wakiongozwa na Dkt. Ellinam J. Minja, Makamu Mwenyekiti wamefanya ziara ya kikazi nchini Rwanda na kufanikiwa kutembelea Ubalozi wa…

Read More

OFISI NDOGO YA TPA NCHINI RWANDA YAADHIMISHA WIKI YA UTOAJI HUDUMA KWA WATEJA

Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, tarehe 07 Oktoba, 2024 Watendaji wa Ofisi ndogo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA)  iliyopo nchini Rwanda imefanya mazungumzo na Balozi wa…

Read More

MHESHIMIWA PINDA AUTEMBELEA UBALOZI

Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania autembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda leo tarehe 03 Septemba, 2024.  Mheshimiwa Mizengo Pinda yupo…

Read More

CALL FOR PARTICIPATION

We call all interested parties from Rwanda in the 6th Tanzania Mining and Investment Conference on 19-21 November, 2024 at Julius Nyerere International Convention Center (JNICC) in Dar es Salaam, Tanzania 

Read More