Tarehe 21 Mei, 2025 Mhe. Dkt. Habib Gallus Kambanga aliwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda