MHE. AMB. MAHMOUD THABIT KOMBO AKARIBISHWA IKULU NCHINI RWANDA
Tarehe 30 Machi, 2026 Mhe. Amb. Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikutana na Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda…
Read More






