Mhe. Dkt. KAMBANGA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO
Tarehe 21 Mei, 2025 Mhe. Dkt. Habib Gallus Kambanga aliwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda
Read MoreTarehe 21 Mei, 2025 Mhe. Dkt. Habib Gallus Kambanga aliwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda
Read MoreMhe. Balozi mteule Dkt. Habib Gallus Kambanga amewasili rasmi nchini Rwanda kwa ajili ya kuendelea kutekeleza majukumu yake kama Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda.
Read MoreTravel Advisory No. 16 of 11th March, 2025 Regarding the Outbreak of MPOX
Read MoreTarehe 17 Oktoba, 2024 Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda kwa kushirikiana na Wizara ya Uchukuzi, TASAC na ofisi ndogo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) umefanya kikao kazi na Wadau…
Read MoreWajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania wakiongozwa na Dkt. Ellinam J. Minja, Makamu Mwenyekiti wamefanya ziara ya kikazi nchini Rwanda na kufanikiwa kutembelea Ubalozi wa…
Read MoreKatika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, tarehe 07 Oktoba, 2024 Watendaji wa Ofisi ndogo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) iliyopo nchini Rwanda imefanya mazungumzo na Balozi wa…
Read More