Mhe. Balozi mteule Dkt. Habib Gallus Kambanga amewasili rasmi nchini Rwanda kwa ajili ya kuendelea kutekeleza majukumu yake kama Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda.