Tarehe 17 Oktoba, 2024 Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda kwa kushirikiana na Wizara ya Uchukuzi, TASAC na ofisi ndogo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) umefanya kikao kazi na Wadau wa Kampuni za usafirishaji nchini Rwanda ambapo TASAC imetoa elimu kuhusu matumizi ya Bandari Kavu ICDs .



