Tarehe 12 Juni, 2025,  Mhe. Dkt. Habib Gallus Kambanga, Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda amekutana na Mhe. Prudence Sebahizi, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Rwanda ambapo wamejadili uendelezaji wa mahusiano ya Biashara kati ya Tanzania na Rwanda