Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania wakiongozwa na Dkt. Ellinam J. Minja, Makamu Mwenyekiti wamefanya ziara ya kikazi nchini Rwanda na kufanikiwa kutembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda pamoja na kuonana na Makampuni yanayotumia Bandari za Tanzania


