Tarehe 30 Machi, 2026  Mhe. Amb. Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikutana na Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda Ikulu iliyopo kijiji cha Urugwiro.   Aidha, majadiliano yao yalijikita katika kuimarisha uhusiano uliopo kati ya Rwanda na Tanzania