Tarehe 22 Mei, 2025 Mhe. Dkt. Habib G. Kambanga, Balozi wa Tanzania nchini Rwanda pamoja na Watumishi wa Ubalozi walitembelea Makumbusho ya Mauaji ya Kimbari nchini Rwanda