Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, tarehe 07 Oktoba, 2024 Watendaji wa Ofisi ndogo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA)  iliyopo nchini Rwanda imefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda yaliyolenga kuboresha zaidi utoaji Huduma kwa Wateja.