News and Resources Change View → Listing

RAIS SAMIA ASHIRIKI SHEREHE ZA UAPISHO WA RAIS MTEULE WA RWANDA

Mheshimiwa Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ashiriki  sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame.  Sherehe hizo zimefanyika tarehe 11 Agosti,…

Read More

WAFANYABIASHARA WA TANZANIA WASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA RWANDA

Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Mej. Jen. Ramson Godwin Mwaisaka, awatembelea wafanyabiashara wa Tanzania wanaoshiriki maonesho ya Kimataifa ya Biashara nchini Rwanda. Maonesho hayo yameanza tarehe 25…

Read More

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI REIMETA ENGLISH MEDIUM MPANDA KATAVI WAUTEMBELEA UBALOZI

Leo Tarehe 04 Juni, 2024 Shule ya Msingi ya Reimeta English Medium kutoka Mpanda, Katavi Tanzania imetembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali yanayotekelezwa na…

Read More

DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MAADHIMISHO YA KWIBUKA 30

Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameshiriki maadhimisho ya miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya Kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya Watutsi.  Maadhimisho hayo…

Read More

Maadhimisho ya siku ya Ukombozi SADC

Ubalozi wa Tanzania Kigali, Rwanda umeshiriki katika maadhimisho ya siku ya Ukombozi wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) tarehe 23 Machi, 2024

Read More

Mhe. January Makamba autembelea Ubalozi

Katika kuhitimisha ziara yake ya kikazi Kigali, Rwanda Mhe January Makamba aliutembelea Ubalozi pamoja na kungalia viwanja vinavyomilikiwa na serikali vilivyopo eneo la Kiyovu na Kacyiru mjini Kigali.…

Read More

Rais Kagame ampokea Mhe January Makamba.

Mhe. Rais Kagame ampokea Mhe January Makamba, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.  Mhe. Makamba yupo nchini Rwanda kwa ziara ya kikazi ya siku nne. ambayo inalenga kuimarisha…

Read More

Mhe. Januari Makamba afanya ziara ya Kikazi nchini Rwanda

Waziri wa Mambo  ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Januari  Y. Makamba afanya ziara ya Kikazi nchini Rwanda

Read More