News and Resources Change View → Listing

Tanzania yashiriki katika mashindano ya Africa Aquatics Zone3 Swimming Championships

Timu ya kuogelea kutoka Tanzania tarehe 25 Novemba, 2023 imeibuka mshinid wa pili kwenye mashindano ya Afrika Aquatics Zone 3 Swimming Championships yaliyofanyika Kigali, Rwanda. Nchi zilizoshiriki katika…

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA AMEFANYA MAZUNGUMZO NA WAFANYABIASHARA KUTOKA ZANZIBAR

Mhe. Mej. Jen. Ramson Godwin Mwaisaka, Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Primia Enterprise kutoka Zanzibar inayojishughulisha kuuza  bidhaa za…

Read More

UBALOZI WAKABIDHI TSHIRT KWA CHAUKIRWA

Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda umekabidhi Tshirt  180 kwa Chama cha Ukuzaji na Usambazaji wa Kiswahili nchini Rwanda (CHAUKIRWA),  Chuo Kikuu cha Rwanda, ikiwa ni jitihada za Ubalozi wa Tanzania…

Read More

MKUTANO WA KIMATAIFA WA 23 WA BARAZA LA UTALII DUNIANI (WTTC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention…

Read More

TANZANIA YASHIRIKI MASHINDANO YA MPIRA WA KIKAPU YA lWANAWAKE BARANI AFRIKA

Timu ya Mpira wa Kikapu ya Wanawake washiriki mashindano ya Ligi ya Wanawake Barani Afrika yanayofanyika nchini kigali, Rwanda kuanzia tarehe 28 Oktoba hadi 05 November, 2023.

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA AWASILISHA HATI YA UTAMBULISHO

Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda, Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda tarehe 18 Oktoba, 2023.

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA AWASILI KITUONI

Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda, Mheshimiwa Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka amewasili kituoni na tarehe 17 Oktoba, 2023 aliwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Clementine Mukeka, Katibu…

Read More

MKUTANO WA UJIRANI MWEMA

Mkutano wa Ujirani Mwema kati ya Mkoa wa Kagera, Tanzania  na Jimbo la Mashariki Nchini Rwanda ukiendelea nchini Rwanda, sambamba na Mkutano huo umefanyika Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya…

Read More