Timu ya kuogelea kutoka Tanzania tarehe 25 Novemba, 2023 imeibuka mshinid wa pili kwenye mashindano ya Afrika Aquatics Zone 3 Swimming Championships yaliyofanyika Kigali, Rwanda. Nchi zilizoshiriki katika mashindano hayo ni Uganda, Kenya, Burundi, Ethiopia na South Afrika






