Timu ya Mpira wa Kikapu ya Wanawake washiriki mashindano ya Ligi ya Wanawake Barani Afrika yanayofanyika nchini kigali, Rwanda kuanzia tarehe 28 Oktoba hadi 05 November, 2023.