News and Resources Change View → Listing

BALOZI MWAISAKA AIPOKEA TIMU YA MPIRA YA KIKAPU YA PAZ KUTOKA TANZANIA

Mhe. Mej. Jen. Ramson G. Mwaisaka, amewapokea  Wachezaji  na Viongozi wa Timu ya Mpira wa Kikapu ya Paz kutoka Tanzania  na kuwapa baraka zake katika mashindano ya 2024 Legency Baskteball…

Read More

MHE. DKT. TULIA ACKSON, ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA MAUAJI YA KIMBARI KIGALI, RWANDA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  tarehe 18 Disemba, 2023 alitembelea Makumbusho ya Mauaji ya Kimbari yaliyopo jijini…

Read More

TANZANIA YASHIRIKI MICHEZO YA 13 YA MABUNGE YA AFRIKA MASHARIKI

Timu za michezo mbalimbali za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinashiriki michezo ya 13 ya Mabunge ya Afrika Mashariki yanayoendelea Nchini Rwanda 

Read More

Tanzania yashiriki katika mashindano ya Africa Aquatics Zone3 Swimming Championships

Timu ya kuogelea kutoka Tanzania tarehe 25 Novemba, 2023 imeibuka mshinid wa pili kwenye mashindano ya Afrika Aquatics Zone 3 Swimming Championships yaliyofanyika Kigali, Rwanda. Nchi zilizoshiriki katika…

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA AMEFANYA MAZUNGUMZO NA WAFANYABIASHARA KUTOKA ZANZIBAR

Mhe. Mej. Jen. Ramson Godwin Mwaisaka, Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Kampuni ya Primia Enterprise kutoka Zanzibar inayojishughulisha kuuza  bidhaa za…

Read More

UBALOZI WAKABIDHI TSHIRT KWA CHAUKIRWA

Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda umekabidhi Tshirt  180 kwa Chama cha Ukuzaji na Usambazaji wa Kiswahili nchini Rwanda (CHAUKIRWA),  Chuo Kikuu cha Rwanda, ikiwa ni jitihada za Ubalozi wa Tanzania…

Read More

MKUTANO WA KIMATAIFA WA 23 WA BARAZA LA UTALII DUNIANI (WTTC)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali (Kigali Convention…

Read More

TANZANIA YASHIRIKI MASHINDANO YA MPIRA WA KIKAPU YA lWANAWAKE BARANI AFRIKA

Timu ya Mpira wa Kikapu ya Wanawake washiriki mashindano ya Ligi ya Wanawake Barani Afrika yanayofanyika nchini kigali, Rwanda kuanzia tarehe 28 Oktoba hadi 05 November, 2023.

Read More