Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda umekabidhi Tshirt  180 kwa Chama cha Ukuzaji na Usambazaji wa Kiswahili nchini Rwanda (CHAUKIRWA),  Chuo Kikuu cha Rwanda, ikiwa ni jitihada za Ubalozi wa Tanzania kukuza na kueneza matumizi ya lugha ya kiswahili Nchini Rwanda.