Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 18 Disemba, 2023 alitembelea Makumbusho ya Mauaji ya Kimbari yaliyopo jijini Kigali, Rwanda. Mauaji hayo yalisababishwa na mapigano baina ya Wahutu na Watutsi yalitokea mwaka 1994 na yalidumu kwa takribani siku 100





