Mheshimiwa Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ashiriki  sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame.  Sherehe hizo zimefanyika tarehe 11 Agosti, 2024 uwanja wa Amahoro-Kigali, Rwanda .