Tafrija ya watumishi wa Ubalozi wa Kigali kumuaga Balozi Ali Idi Siwa
Katika Tafrija ya watumishi wa ubalozi wa Kigali wakimuaga Balozi Ali Idi Siwa aliyemaliza muda wake nchini Rwanda. Pichani Mheshimiwa Balozi akiwa na Familia yake. na pia Balozi akiwa na Maafisa wa Ubalozini.…
Read More





