Katika Tafrija ya watumishi wa ubalozi wa Kigali wakimuaga Balozi Ali Idi Siwa aliyemaliza muda wake nchini Rwanda. Pichani Mheshimiwa Balozi akiwa na Familia yake. na pia Balozi akiwa na Maafisa wa Ubalozini. Pia mheshimiwa Balozi mstaafu akitoa nasaha kwa wageni na Maafisa wa Ubalozini.

  • Pichani Mheshimiwa Balozi akiwa na Familia yake.Pichani Mheshimiwa Balozi akiwa na Familia yake.
  • Mheshimiwa Balozi mstaafu akitoa nasaha kwa wageni na Maafisa wa Ubalozini.Mheshimiwa Balozi mstaafu akitoa nasaha kwa wageni na Maafisa wa Ubalozini.