Mheshimwa Balozi Ernest Mangu (wa pili kutoka kushoto) katika moja ya ziara za kikazi alipotembelea mpaka wa Gatuna (Rwanda na Uganda), akiwa pamoja na Afisa wa Ubalozi Bw. Tertoi N. Bunto (wa kwanza kulia)na Maafisa Uhamiaji wa Rwanda