Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 27 April, 2023