Mhe Balozi Ernest Mangu akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (Wachungaji na Wanakwaya) kutoka Kahama Tanzania walipoutembelea Ubalozi wa Tanzania na kutoa salamu kwa Mhe Balozi Mangu. Ujumbe huo ulikuja nchini Rwanda kwa Ziara ya kiinjili.
Wachungaji na Wanakwaya wa Kanisa la KKKT - Kahama walipoutembelea Ubalozi