Mhe. Balozi Ernest Jumbe Mangu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe Rais Paul Kagame
Balozi wa Tanzania Mhe. Ernest Mangu amewasilisha hati za utambulisho kuwa Balozi wa Tanzania nchini Rwanda kwa Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri Rwanda tarehe 02 Juni, 2018.Mhe. Balozi Mangu ameahidi…
Read More





