Mhe. Balozi Ernest J. Mangu akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Rwanda Mhe.  Edouard Ngirente wakati alipokwenda kumsalimu ofisini kwake.

Viongozi hawa walizungumzia mambo mbalimbali katika kuimarisha uhusiano mzuri uliopo kati ya Rwanda na Tanzania ikiwa ni pamoja na kuinua uchumi wa nchi hizi mbili.