News and Events Change View → Listing

Mkutano wa kilele wa Mawaziri wa Maji Afrika

Mhe. Balozi Ernest Mangu katikati akiwa pamoja na Maafisa kutoka Wizara ya Maji wakati wa Mkutano wa kilele wa Mawaziri wa Maji Afrika uliofanyika tarehe 13 Februari, 2019 katika Hoteli ya Park Inn Jijini…

Read More

Maafisa wa Polisi wautembelea Ubalozi

Mhe. Balozi Ernest Mangu na Afisa wa Ubalozi Bw. Teritoi Bunto wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Polisi toka Tanzania ambao walikuwa nchini Rwanda kikazi.  Maafisa hao wa Polisi ni DCP. Shaban…

Read More

Mhe. Balozi Ernest J. Mangu alipokwenda kumsalimu Waziri Mkuu wa Rwanda Mhe. Edouard Ngirente

Mhe. Balozi Ernest J. Mangu akiwa pamoja na Waziri Mkuu wa Rwanda Mhe.  Edouard Ngirente wakati alipokwenda kumsalimu ofisini kwake.Viongozi hawa walizungumzia mambo mbalimbali katika kuimarisha uhusiano…

Read More

Wachungaji na Wanakwaya wa Kanisa la KKKT - Kahama walipoutembelea Ubalozi

Mhe Balozi Ernest Mangu akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (Wachungaji na Wanakwaya) kutoka Kahama Tanzania walipoutembelea Ubalozi wa Tanzania na kutoa salamu kwa Mhe…

Read More

Mhe. Balozi Ernest J. Mangu alipokwenda kuwasalimu Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini Rwanda

Mhe. Balozi Ernest Jumbe Mangu pamoja na Balozi wa China nchini Rwanda Mhe. Rao Hongwei wakati apoenda kumsalimia Ubalozi wa China.  Mhe Balozi wa China alimkaribisha Mhe. Balozi na kumtakia Mafanikio…

Read More

Ziara ya mafunzo ya Wabunge nchini Rwanda.

Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Kamati ya Bunge - Huduma ya Jamii) wakiwa pamoja na Mhe. Balozi Ernest J. Mangu na Maafisa Ubalozi walipoutembelea Ubalozi mwezi…

Read More

Viongozi wa RWATAFA wautembelea Ubalozi

Pichani Viongozi wa  RWATAFA (Rwanda/Tanzania Friendship Association) walipotembelea Ubalozini kwa ajili ya "Courtesy Call"  kwa Mhe. Balozi Ernest Mangu (wa tatu kutoka Kushoto).  Wa kwanza…

Read More

Balozi Ernest Mangu atembelea mpaka wa Gatuna Rwanda na Uganda

Mheshimwa Balozi Ernest Mangu (wa pili kutoka kushoto) katika moja ya ziara za kikazi alipotembelea mpaka wa Gatuna (Rwanda na Uganda), akiwa pamoja na Afisa wa Ubalozi Bw. Tertoi N. Bunto (wa kwanza kulia)na…

Read More