Pichani Viongozi wa RWATAFA (Rwanda/Tanzania Friendship Association) walipotembelea Ubalozini kwa ajili ya "Courtesy Call" kwa Mhe. Balozi Ernest Mangu (wa tatu kutoka Kushoto). Wa kwanza kulia ni Afisa Ubalozi Bw. Teritoi N. Bunto; Bw. Karoero, Katibu wa RWATAFA; Dr. John Msemakweli, Mwenyekiti wa RWATAFA na wa kwanza kushoto ni Bi Zipora Muringo, Mweka Hazina na anayefuata ni Mwalimu Masabo. Hawa ni Raia wa Rwanda waliowahi kuishi Tanzania miaka ya nyuma.
Viongozi wa RWATAFA wautembelea Ubalozi