News and Events Change View → Listing

Ali Idi Siwa, High Comissioner of Tanzania

Joint Regional Projects for Boosting Economic Development

Putting the difficulties of the past behind, Rwanda and Tanzania are committed towards strengthening the bilateral relations and promoting peace, prosperity and development. Ali Idi Siwa, High Commissioner of…

Read More

Mawaziri wa Fedha Na Mipango Wa Tanzania Na Rwanda Wakutana Kujadili Mradi Wa Ujenzi Wa Reli

Mawaziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania na Rwanda wamekutana Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kupata fedha za Ujenzi wa Reli yenye Kiwango cha Kimataifa (SGR) kutoka Isaka Shinyanga hadi Kigali Rwanda…

Read More

Rais Dkt Magufuli Aagana na Mgeni Wake Rais Kagame wa Rwanda Baada ya Ziara ya Kikazi ya Siku Moja

Rais Dkt Magufuli Aagana na Mgeni Wake Rais Kagame wa Rwanda Baada ya Ziara ya Kikazi ya Siku Moja

Read More

Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN nchini humo

Hatimaye historia mpya imeandikwa nchini Rwanda, baada ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), kuzindua mauzo ya gazeti la HabariLeo Toleo la Afrika Mashariki, uzinduzi uliokwenda sambamba na kongamano la…

Read More

Tanzania kupeleka walimu wa kiswahili Rwanda

Mhe. Rais Magufuli amepokea barua yenye ujumbe wa Rais wa Jamhuri wa Rwanda Mhe. Paul Kagame iliyowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambaye ni Waziri wa Elimu wa Rwanda Dkt. Musafiri Papias Malimba.Pamoja na…

Read More

Rwanda yapitisha muswada wa sheria ya kufanya Kiswahili kuwa lugha rasmi

Wabunge nchini Rwanda wamepitisha kwa kauli moja muswada wa sheria ya kuifanya lugha Kiswahili kuwa lugha rasmi nchini humo.Kufuatia hatua hiyo, sasa Kiswahili nchini Rwanda kinakuwa moja kati ya lugha tatu za…

Read More

Tanzania kunufaika na ushirikiano wa kikanda: Balozi Ali Siwa

Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC ni lazima itegemee ushirikiano baina ya nchi wanachama wake wala si mashindano, wamesema washiriki wa mjadala wa kisiasa uliofanyika wiki hii mjini Kigali nchini Rwanda kuhusu…

Read More

Notice to travellers planning to visit Tanzania

The United Republic of Tanzania – Vice President’s OfficeThe Government of Tanzania wishes to make an official note to travellers planning to visit Tanzania that from 1st June 2019 all plastic carrier…

Read More