Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Kamati ya Bunge - Huduma ya Jamii) wakiwa pamoja na Mhe. Balozi Ernest J. Mangu na Maafisa Ubalozi walipoutembelea Ubalozi mwezi Agosti,2018.  Wabunge hao walikuwa nchini Rwanda kwa ziara ya kimafunzo ya uzoefu katika usimamizi wa sekta ya Afya.