Mhe. Balozi Ernest Jumbe Mangu pamoja na Balozi wa China nchini Rwanda Mhe. Rao Hongwei wakati apoenda kumsalimia Ubalozi wa China.  Mhe Balozi wa China alimkaribisha Mhe. Balozi na kumtakia Mafanikio katika kazi yake mpya ya Uwakilishi nchini Rwanda.

Alieleza kuwa Maafisa Ubalozi wa China nchini Rwanda wako pamoja katika kuboresha mawasiliano pamoja na kuimarisha uhusiano wa kirafiki wa muda mrefu uliopo katika ya wananchi wa Tanzania na China.