News and Events Change View → Listing

VOTE FOR MOUNT KILIMANJARO

We have been nominated Mount Kilimanjaro Africa's Leading Tourism Attraction 2023Please vote now through https://www.worldtravelawards.com

Read More

TRAVEL ADVISORY NO.13 OF 22ND MARCH 2023

On 21st March 2023, The Government of the United Republic of Tanzania (URT) declared theoutbreak of Marburg Viral Disease (MVD) which has affected two wards of Bukoba DistrictCouncil, Kagera region located in…

Read More

KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA RWANDA JIJINI KIGALI TAREHE 6 - 7 MACHI 2023

Balozi wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Mej Gen. Richard Mutayoba Makanzo akitoa Maelezo kuhusu fursa za Uwekezaji wakati wa Kongamano la biashara kati ya Tanzania na Rwanda linalofanyika jijini Kigali 

Read More

Wajumbe wa Common Wealth Youth Forum kutoka Tanzania watembelea Ubalozi

Wajumbe walioshiriki Mkutano wa Common Wealth Youth Forum kutoka Tanzania watembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda na kukutana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania waliopo Kigali kwaajili ya…

Read More

Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola kukutana Kigali, Rwanda

Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola hatimaye unafanyika jijini Kigali, Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili (2020 na 2021) kwa sababu ya ugonjwa wa Corona. Mkutano huo unaofanyika…

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mej. Jen. Richard Makanzo awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mh. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda tarehe 06 Aprili 2022. 

Read More

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI AWASILISHA UJUMBE MAALUM KWA RAIS WA RWANDA

Mheshimiwa Balozi Liberata Mulamula (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiwasilisha ujumbe maalum wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa…

Read More

BALOZI WA TANZANIA AKUTANA NA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU RWANDA

Mhe. Mej. Jen. Richard Makanzo akutana na wanafunzi wanosoma Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Rwanda ambao ni wanachama wa Chama cha Ukuzaji Kiswahili Rwanda (CHAUKIRWA). Chama hicho kilianzishwa na Wanafunzi…

Read More