Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum amemwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Mkutano Mkuu wa Women Delivery 2023 unaofanyika nchini Rwanda kuanzia  tarehe 17 - 20 Julai, 2023.