Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Tanzania zimeshiriki michezo ya FEASSSA 2023 iliyofanyika nchini Rwanda.  Michezo hiyo imehudhuriwa pia na washiriki kutoka nchi za Rwanda, Kenya na Uganda.