Tarehe 22 Mei, 2023 Mhe Dkt. Stergomena L. Tax (Mb). Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki alizindua Mfumo wa kuwasajili kidigitali Diaspora wote wenye asili ya Tanzania pamoja na Wanafunzi wa Kitanzania wanaosoma Ughaibuni.  Usajili huo utaiwezesha Serikali kuwa na kanzidata inayoonyesha idadi yao, mahali walip au ujuzi walionao.

 

Ili kujisajili tafadhali ingia  Hapa  kisha sign up.

Wanafunzi watasajili taarifa zao kwa fomu maalum ya kimtandao