Jumla ya Wanafunzi arobaini (40) wa Shule ya Msingi Canon Andrea Mwaka ya Mkoani Dodoma, Tanzania, wameutembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Rwanda tarehe 17 Julai, 2023 na kujifunza shughuli mbalimbali zinazofanywa na Ubalozi.
Get all latest updates from the High Commission in Your Inbox