News and Events Change View → Listing

Miaka 31 ya SADC

Ubalozi wa Tanzania Rwanda umeungana na Balozi nyingine  za Nchi Wanachama wa SADC zilizopo Rwanda kufanya Usafi (Umuganda) katika Wilaya ya Kicukiro, Kijiji cha Kabeza.

Read More

MAADHIMISHO YA MIAKA 31 YA SADC

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Rwanda kwa kushirikiana na Balozi za Angola, DRC, Mozambique, Zimbabwe na Afrika ya Kusini zilizopo nchini Rwanda kuazimisha miaka 31 ya SADC

Read More

Tanzania yashiriki katika mashindano ya michezo ya Wanafunzi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki - FEASSSA) nchini Rwanda

Jumla Washiriki 440, wanafunzi 365,  Walimu na Viongozi 75 kutoka shule za Msingi na Sekondali  wakiongozwa na Mheshimiwa Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Dkt. Charles E. Msonde wa  Jamhuri ya…

Read More

Walimu mbalimbali watembelea Ubalozi wa Tanzania Rwanda

Kundi la Walimu kutoka katika shule mbalimbali za Tanzania zenye uhitaji maalum  watembelea ubalozi wa Tanzania Rwanda

Read More

Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (Mb) Amwakilisha Mhe. Rais kwenye Mkutano Mkuu wa Women Deliver, unaofanyika nchini. Rwanda

Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (Mb), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum amemwakilisha Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Mkutano Mkuu wa Women…

Read More

WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI CANON ANDREA MWAKA YA DODOMA WAUTEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA, KIGALI-RWANDA

Jumla ya Wanafunzi arobaini (40)  wa Shule ya Msingi Canon Andrea Mwaka ya Mkoani Dodoma, Tanzania, wameutembelea Ubalozi wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Rwanda tarehe 17 Julai, 2023 na…

Read More

TAARIFA KWA DIASPORA WENYE ASILI YA TANZANIA

Tarehe 22 Mei, 2023 Mhe Dkt. Stergomena L. Tax (Mb). Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki alizindua Mfumo wa kuwasajili kidigitali Diaspora wote wenye asili ya Tanzania pamoja na Wanafunzi…

Read More

RAIS WA RWANDA MHE. PAUL KAGAME AFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA

Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 27 April,…

Read More