Mkutano wa Ujirani Mwema kati ya Mkoa wa Kagera, Tanzania na Jimbo la Mashariki Nchini Rwanda ukiendelea nchini Rwanda, sambamba na Mkutano huo umefanyika Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya Wafanyabiashra kutoka Tanzania na Rwanda kwa lengo la kufahamu na kutangaza fursa za Biashara kwa pande zote mbili







