News and Events Change View → Listing

BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA AWASILISHA HATI YA UTAMBULISHO

Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda, Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda tarehe 18 Oktoba, 2023.

Read More

BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA AWASILI KITUONI

Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda, Mheshimiwa Meja Jenerali Ramson Godwin Mwaisaka amewasili kituoni na tarehe 17 Oktoba, 2023 aliwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Mheshimiwa Clementine Mukeka, Katibu…

Read More

MKUTANO WA UJIRANI MWEMA

Mkutano wa Ujirani Mwema kati ya Mkoa wa Kagera, Tanzania  na Jimbo la Mashariki Nchini Rwanda ukiendelea nchini Rwanda, sambamba na Mkutano huo umefanyika Mkutano wa Jukwaa la Biashara kati ya…

Read More

Tanzania yashiriki michezo ya FEASSSA, 2023

Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Tanzania zimeshiriki michezo ya FEASSSA 2023 iliyofanyika nchini Rwanda.  Michezo hiyo imehudhuriwa pia na washiriki kutoka nchi za Rwanda, Kenya na Uganda.

Read More

Miaka 31 ya SADC

Ubalozi wa Tanzania Rwanda umeungana na Balozi nyingine  za Nchi Wanachama wa SADC zilizopo Rwanda kufanya Usafi (Umuganda) katika Wilaya ya Kicukiro, Kijiji cha Kabeza.

Read More

MAADHIMISHO YA MIAKA 31 YA SADC

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Rwanda kwa kushirikiana na Balozi za Angola, DRC, Mozambique, Zimbabwe na Afrika ya Kusini zilizopo nchini Rwanda kuazimisha miaka 31 ya SADC

Read More

Tanzania yashiriki katika mashindano ya michezo ya Wanafunzi wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki - FEASSSA) nchini Rwanda

Jumla Washiriki 440, wanafunzi 365,  Walimu na Viongozi 75 kutoka shule za Msingi na Sekondali  wakiongozwa na Mheshimiwa Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI Dkt. Charles E. Msonde wa  Jamhuri ya…

Read More

Walimu mbalimbali watembelea Ubalozi wa Tanzania Rwanda

Kundi la Walimu kutoka katika shule mbalimbali za Tanzania zenye uhitaji maalum  watembelea ubalozi wa Tanzania Rwanda

Read More