News and Events Change View → Listing

Mhe. January Makamba autembelea Ubalozi

Katika kuhitimisha ziara yake ya kikazi Kigali, Rwanda Mhe January Makamba aliutembelea Ubalozi pamoja na kungalia viwanja vinavyomilikiwa na serikali vilivyopo eneo la Kiyovu na Kacyiru mjini Kigali.…

Read More

Rais Kagame ampokea Mhe January Makamba.

Mhe. Rais Kagame ampokea Mhe January Makamba, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.  Mhe. Makamba yupo nchini Rwanda kwa ziara ya kikazi ya siku nne. ambayo inalenga kuimarisha…

Read More

Mhe. Januari Makamba afanya ziara ya Kikazi nchini Rwanda

Waziri wa Mambo  ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Januari  Y. Makamba afanya ziara ya Kikazi nchini Rwanda

Read More

Baadhi ya wageni waendelea kutoa Salamu za Pole

Katika kuhitimisha siku saba za maombolezo kufuatia kifo ya Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya pili wa Serikali ya  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baadhi ya wageni waendelea kutoa Salamu…

Read More

Wageni mbalimbali Waendelea Kusaini Kitabu cha Maombolezo

Kufuatia Kifo cha Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichotokea tarehe 29 Februari, 2024,  Wageni mbalimbali  wakiwemo Mabalozi…

Read More

MWENYEKITI WA DIASPORA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO

Mwenyekiti wa Diaspora nchini Rwanda ndugu Patrick  Joseph Dittfurth asaini kitabu cha maombolezo  tarehe 05 Machi, 2018  katika Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda, kufuatia kifo cha Mhe. Ali…

Read More

BAADHI YA MABALOZI WANAOZIWAKILISHA NCHI MBALIMBALI HAPA RWANDA WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO

Baadhi ya Mabalozi Wanaoziwakilisha nchi mbalimbali hapa Rwanda Wamefika Ubalozini tarehe 4 Machi, 2024  kusaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Mhe. Ali Hassani Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya…

Read More

BURIANI ALI HASSANI MWINYI

ALI HASSAN MWINYI    Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1925 - 2024)

Read More