Katika kuhitimisha siku saba za maombolezo kufuatia kifo ya Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya pili wa Serikali ya  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baadhi ya wageni waendelea kutoa Salamu za pole.