Baadhi ya Mabalozi Wanaoziwakilisha nchi mbalimbali hapa Rwanda Wamefika Ubalozini tarehe 4 Machi, 2024  kusaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Mhe. Ali Hassani Mwinyi, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.