Mwenyekiti wa Diaspora nchini Rwanda ndugu Patrick  Joseph Dittfurth asaini kitabu cha maombolezo  tarehe 05 Machi, 2018  katika Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda, kufuatia kifo cha Mhe. Ali Hassani Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.