Rais Magufuli Amteua Ernest Mangu Kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda
Rais Magufuli amewateua aliyekuwa IGP, Ernest Mangu kuwa Balozi nchini Rwanda na Meja Jenerali Mstaafu, Simon Mumwi kuwa Balozi nchini Urusi. Wateule wote wataapishwa Machi 21 Ikulu Jijini Dar es Salaam…
Read More





