Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA NEISA 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali kuhusu Uvumbuzi wa Nishati ya Nyuklia barani Afrika (NEISA) unaofanyika Jijini Kigali…

Read More

MHE. AMB. MAHMOUD THABIT KOMBO AKARIBISHWA IKULU NCHINI RWANDA

Tarehe 30 Machi, 2026  Mhe. Amb. Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikutana na Mhe. Paul Kagame, Rais wa Jamhuri ya Rwanda…

Read More

TANZANIA YASHIRIKI KATIKA KONGAMANO LA NNE LA SAYANSI NA TEKNOLOJIA NA UBUNIFU LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo  akiambatana na Wajumbe wengine kutoka Tanzania wanahudhuria Kongamano la Nne la Sayasi, Teknolojia na Ubunifu la…

Read More

KILELE CHA MAADHIMISHO YA NNE YA SIKU YA LUGHA YA KISWAHILI DUNIANI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Tarehe 06 -07 Julai, 2025 Ubalozi  ulishiriki Maadhimisho  ya Kilele cha Sherehe za Siku ya Kiswahili Duniani kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyoandaliwa na Serikali ya Rwanda, Maadhimisho hayo…

Read More

BALOZI DKT. KAMBANGA AKUTANA NA WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA

Tarehe 12 Juni, 2025,  Mhe. Dkt. Habib Gallus Kambanga, Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda amekutana na Mhe. Prudence Sebahizi, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Rwanda ambapo wamejadili uendelezaji wa…

Read More